Jang Song- thaek ambaye pia ni mjomba wa rais wa Korea kaskazini alituhumiwa kutumia vibaya madaraka, kupinga mapinduzi na kukengeuka kitabia.kiongozi huyo alikiri kutumia vibaya nafasi zake za uwajibikaji ili kuunda kikundi cha upinzani dhidi ya serikali na kulinda maslahi yake ya kisiasa.ni muhimu kuashiria kuwa katika nchi ya Korea Kaskazin mafisadi na wasaliti wa serikali hukumu yao ni kunyongwa mpaka kufa.
12 Desemba 2013 - 20:30
Msimbo wa Habari: 488297
Jang Song- thaek mkuu wa Idara ya Utawala katika Chama cha kikomunisti cha Korea Kaskazini amenyongwa baada kukiri makosa yake katika mahakama ya kijeshi.